Jioni ya leo kikosi cha Yanga kilipata nafasi ya kufanya ukaguzi wa uwanja wa Lake Tanganyika kuelekea mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Simba
Mtanange utaunguruma kesho Jumapili katika uwanja huo huo







ADVERTISE HERE