Kikosi cha Yanga leo kimeendelea na maandalizi mkoani Kigoma kuelekea mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Simba
Mchezo utapigwa Jumapili, Julai 25 kunako dimba la Lake Tanganyika
Wananchi wameingia siku ya pili ya maandalizi yao tangu walipotua Kigoma jana asubuhi






ADVERTISE HERE