Mashabiki wa Yanga mkoani Kigoma wameaswa kuchangamkia tiketi ili waujaze uwanja wa Lake Tanganyika Jumapili katika mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Simba
Takribani mashabiki 20,000 watapata nafasi ya kushuhudia mchezo huo ndani ya dimba la Lake Tanganyika
Idadi kubwa ya mashabiki wameondoka jijini Dar es salaam leo kwa usafiri wa treni kwenda kushuhudia mchezo huo wa kukata na shoka
Tiketi za mchezo huo zinapatikana kwenye vituo vifuatavyo kwa N-Cards; Mwanga Center, TTCL Kigoma, Sokoni Buzeba Zeba, Stendi Kuu Ujiji, Stendi Masanga, Bangwe, Mwandinga Sokoni, Kasulu TTCL, NBC Benki Mjini, Kibirizi Sokoni na Mawen

Mchezo huo pia utakuwa 'mbashara' kupitia Azam Sport 1 HD
ADVERTISE HERE