Uongozi wa klabu ya Yanga umeeleza kushangazwa na uteuzi wa Mwamuzi Ahmed Arajiga kuchezesha mchezo wa fainali kombe la Shirikisho utakaopigwa mkoani Kigoma, Jumapili, Julai 25 uwanja wa Lake Tanganyika
Arajiga alichezesha mechi za Simba hatua ya robo fainali na nusu fainali katika michuano hiyo mchezo wake wa mwisho ukiwa wa nusu fainali ambao Simba walicheza na Azam Fc mkoani Ruvuma
Taarifa ilitolewa na Yanga, imebainisha kutokuwa na imani na Mwamuzi huyo na hivyo kuitaka TFF itafakari kuhusu uteuzi wake
ADVERTISE HERE