Huyu mwamba ndio atachezesha 'dabi' Kigoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jul 2021
Huyu mwamba ndio atachezesha 'dabi' Kigoma

Mwamuzi aliyechezesha mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports kati Azam FC na Simba, Ahmed Arajiga ndiye atakayeamua mchezo wa fainali kati ya Simba vs Yanga utakaochezwa Julai 25 kwenye uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma

Kwa mujibu wa taarifa ya TFF iliyotolewa mapemaleo, waamuzi wasaidizi watakuwa ni Frednand Chacha na Mohamed Mkono huku mwamuzi wa akiba akiwa ni Elly Sasii na Mtathmini wa waamuzi akiwa ni Nassoro Hamduni

Arajiga anakumbukwa kwa tukio la kulikubali bao tata lililofungwa na Simba kwenye dakika ya 88 katika mchezo huo ambao Simba iliweza kuingia fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’