Michuano ya kombe la Kagame inatarajiwa kufanyika jijini Dar es salaam ambapo Yanga ni miongoni mwa timu zilizothibitisha kushiriki michuano hiyo ambayo zamani ilikuwa ikiitwa klabu bingwa Afrika Mashariki na kati
Jumla ya timu 14 zimethibitisha kushiriki michuano hiyo ambayo tarehe ya kuanza, makundi yanatarajiwa kutangazwa wakati wowote
Michuano hii itakuwa maandalizi kuelekea msimu mpya wa ligi kuu ya Vodacom pamoja na michuano ya ligi ya mabingwa
Timu zilizothibitisha kushiriki
1-Simba SC (Tanzania)
2-Yanga SC (Tanzania)
3-Azam FC (Tanzania)
4-Biashara United (Tanzania)
5-Gor Mahia FC (Kenya)
6-Tusker FC (Kenya)
7-Express FC (Uganda)
8-APR FC (Rwanda)
9-Le Messager FC (Burundi)
10-Fasil Katema FC (Ethiopia)
11-Mogadishu City/Horseed (Somalia)
12-Arta Solar7 (Djibout)
13-KMKM (Zanzibar)
14-Tp Mazembe (DR Congo)