Kwa uwezo wa Mungu tumevuka salama mwaka 2017 licha ya changamoto kadhaa tulizokutana nazo.
Tuwaombee wenzetu waliotangulia mbele ya haki mwaka 2017 kwani ni majaaliwa yake Mungu kufika mwaka mwingine.
Kwa wale walioko mahospitalini, tuwaombee wapate kupona maradhi yao.
Tumuombe Mwenye Ez Mungu aubariki mwaka 2018 uwe ni mwaka na furaha na mafanikio kwetu.
HAPPY NEW YEAR 2018!

ADVERTISE HERE