Julai 03 walichezea kichapa hapo uwanja wa Benjamin Mkapa, Zawadi Mauya akiwafunga midomo kwa bao la shuti kali kutoka nje ya 18
Kuelekea mchezo wa fainali kombe la Shirikisho utakaopigwa Julai 25 mkoani Kigoma, ni kama kuna watu wamesahahu, mwanzo walitamba sana wakaangukia pua Julai 03, wameanza tena kutamba
Saido Ntibazonkiza,kiungo mshambuliaji wa Yanga amewaambia wasijisahaulishe, halafu wakumbuke Julai 25 tena!
Walichezea kichapo Zanzibar, wakachezea kichapo Dar es salaam na wanakwenda kuchezea kichapo Kigoma..!
ADVERTISE HERE