1. Kwanza ni jambo la kumshukuru Mungu kwa namna moja au nyingine kwa kutufanikisha kumaliza ligi salama.
2. Malengo kama timu hatujatimiza kama ilivyokuwa katika akili zetu juu kuchukua ubingwa wa ligi kuu. Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa nafasi tulioipata
3. Kwangu binafsi namshukuru mwenyezi Mungu kwa kunipa nafasi ya kutoa kile nilichonacho katika kipaji changu kwa nguvu na hali na uthubutu ndani yake
4. Napenda kuwashukuru mashabiki na wapenzi wote wa mpira wa miguu walionipa sapoti katika nyakati ngumu na nyakati nzuri katika msimu huu tulihitimisha jana
ADVERTISE HERE