Bado nina mkataba wa mwaka mmoja - Saido

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jul 2021
Bado nina mkataba wa mwaka mmoja - Saido

Baada ya kauli aliyotoa kwenye ukurasa wa mtandao wa kijamii kuleta mkanganyiko, kiungo mshambuliaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza amewatoa hofu mashabiki wa Yanga kuwa yeye bado ni Mwananchi kwani angali na mkataba wa mwaka mmoja

Ntibazonkiza amesema yawezekana hakueleweka alichokuwa akimaanisha lakini yeye bado yupo

"Mimi bado ni mchezaji wa Yanga nina mkataba wa mwaka mmoja. Hivyo sijasema kama naondoka Yanga, yawezekana sikueleweka vyema," alifafanua Saido

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’