JKT Tanzania, Ihefu Fc na Gwambina Fc zimeungana na Mwadui Fc kuelekea ligi daraja la kwanza msimu ujao
JKT Tanzania wamepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar lakini matokeo hayo hayakuwanusuru na kuteremka daraja
Gwambina wametoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons wakati Ihefu Fc wamefungwa na KMC bao 1-0
Aidha Coastal Union na Mtibwa Sugar zimenusurika kwa sasa, zitacheza playoff
ADVERTISE HERE