Kabwili kupewa nafasi mechi ya Dodoma Jiji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jul 2021
Kabwili kupewa nafasi mechi ya Dodoma Jiji

Hakuna shaka mlinda lango Ramadhani Kabwili kama atakuwa timamu kiafya, leo anatarajiwa kuanza katika mchezo dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa uwanja wa Jamhuri

Huu utakuwa mchezo pekee ambao Kabwili atacheza msimu huu (kwenye ligi)

Kabwili amekuwa na nafasi finyu kwenye kikosi cha kwanza msimu huu walinda lango Metacha Mnata na Farouk Shikhalo wakiaminiwa zaidi

Pamoja na kutopata sana nafasi, Yanga bado ina mpango wa muda mrefu na mlinda lango huyu aliyesajiliwa mwaka 2017 akiwa na umri wa miaka 17 tu

Kabwili anashikilia rekodi ya kucheza mechi ya ligi ya mabingwa barani Afrika akiwa na umri mdogo msimu wa 2017/18 akikaa langoni katika mchezo dhidi ya Township Rollers

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’