Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kwa usafiri wa ndege kuelekea mkaoni Dodoma tayari kwa mchezo wa kukamilisha msimu dhidi ya Dodoma Jiji
Mchezo huo utapigwa uwanja wa Jamhuri, siku ya Jumapili, Julai 18 kuanzia saa kumi kamili jioni
Wananchi tayari wamejihakikisha kumaliza katika nafasi ya pili, hivyo ni mchezo wa kukamilisha Ratiba tu



ADVERTISE HERE