Kiungo Haruna Niyonzima amewashukuru viongozi, wachezji na benchi la ufundi la Yanga kwa sapoti waliyompa kipindi chote alichokuwa Yanga
Niyonzima amemshukuru kila mmoja aliyehusika katika kufanikisha maisha yake Yanga na kuacha historia itakayokumbukwa kwa miaka mingi
Aidha, Niyonzima hakuwasahau mashabiki ambao amewataja kuwa chachu ya mafanikio yake



ADVERTISE HERE