Sina cha kuwalipa Wanayanga - Niyonzima

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jul 2021
Sina cha kuwalipa Wanayanga - Niyonzima

Kiungo Haruna Niyonzima amewashukuru wanayanga kwa ujumla wake baada ya kumpa heshima ya kipekee kwa kumuaga baada ya kuitumikia timu hiyo kwa misimu sita

Niyonzima ameagwa rasmi na Wananchi baada ya mchezo dhidi ya Ihefu Fc uliomalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0

Kiungo huyo kutoka Rwanda amesema Yanga ni timu yake na anaamini wakati mwingine atarejea

"Sina cha kuwalipa Wanayanga lakini kikubwa nitaendelea kuwaombea. Nataka watu watambue kuwa hii ni timu yangu. Nafurahi kuona hata kule nyumbani (Rwanda), nimeweza kuwashawishi Wanyarwanda waipende Yanga," alisema Niyonzima

Nae, Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla amesema ni heshima kwake kuweza kumrejesha Niyonzima kwa mara ya pili

Dk Msolla amesema Niyonzima ni Mwanafamilia wa Yanga na wakati wowote wanamkaribisha kuja kufanya kazi

"Natambua una leseni C ya ukocha. napenda ujiendeleze zaidi upate leseni B kwani tungependa kuona siku moja unarejea kuwa kocha msaidizi au kufundisha timu zetu za vijana," alisema Dk Msolla

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’