Uongozi wa klabu ya Yanga umepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mjumbe wa Kamati ya Maadili na Mshauri wa Yanga Princess, Marry Mavulla
Taarifa iliyotolewa na Yanga, imemtaja marehemu Mavulla kuwa, alikuwa Mwanachama aliyejitoa kwa hali na mali kuisaidia Yanga katika vipindi mbalimbali
Yanga imetuma salam za pole kwa familia ya Marry Mavulla na Wanamichezo wote kwa msiba huo mzito
Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
ADVERTISE HERE