Niyonzima kuagwa Julai 15

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jul 2021
Niyonzima kuagwa Julai 15

Kiungo Haruna Niyonzima anamaliza mkataba wake na Yanga wiki ijayo pale msimu utakapofika tamati

Uongozi wa Yanga umempa mkongwe huyo heshima kwa kumuaga kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ihefu Fc ambao utapigwa Julai 15 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa

Niyonzima ameitumikia Yanga kwa zaidi ya misimu sita, ndiye mchezaji mwandamizi zaidi katika kikosi cha kocha Nasreddine Nabi

Ni heshima anayostahili mchezaji wa aina yake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’