Design ya uwanja wa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Dec 2017
Design ya uwanja wa Yanga
Viongozi wa Yanga wamedhamiria kuhakikisha klabu inakuwa na uwanja wake na ndio maana kazi ya kukarabati uwanja wa Kaunda imepamba moto.

Kama matarajio yatafikiwa, uwanja wa Kaunda utaweza kuwa uwanja rasmi wa klabu ya Yanga ambao utatumika kwa michezo yote.

Uwanja huo ukikamilika huenda ukawa na uwezo wa kuchukua hadi mashabiki 40,000.

Umoja, mshikamano na ushirikiano wa Wana Yanga wote unaweza kufanikisha mpango huu utakaokuwa na manufaa makubwa kwa klabu ya Yanga.

Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa na viongozi wenzake wanastahili pongezi kwa kujitoa kuhakikisha Yanga wanafufua na miradi ya klabu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’