Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dk Mshindo Msolla, leo atakuwa mubashara kupitia Channel 10, kuanzia saa 2:30 usiku
Kulingana na taarifa ya Yanga, Dk Msolla atazungumzia masuala mbalimbali yanayoihusu klabu hiyo
Ni kuanzia saa mbili na nusu usiku

ADVERTISE HERE