Alhamisi ya wiki hii Yanga na Azam Media wana tukio jingine kwa ajili ya Mwananchi
Baada ya kusaini mkataba wa haki ya maudhui, Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema Azam Media ndio wenye haki ya kurusha tukio hilo kwa Wananchi
Hivyo amewataka Wanayanga wasikae mbali na Azam TV siku ya Alhamisi
Tetesi zilizoko mtaani ni ujio wa basi la kisasa, pengine linaweza kutambulishwa siku hiyo
Lakini pia kuna michakato ya usajili ambayo inaendelea hapo Jangwani, je kuna nyota wapya watatambulishwa? Tusubiri..
ADVERTISE HERE