Hapo jana, Raisi wa Makampuni ya GSM, Ghalib Said Mohammed, aliandaa hafla ya chakula cha jioni kwa Wachezaji, Viongozi pamoja na wadau mbalimbali wa Klabu ya Yanga ikiwa ni sehemu ya hamasa kwa Wachezaji na Benchi la Ufundi
Ni kuelekea michezo iliyobaki kumaliza msimu pamoja na mchezo wa fainali ya Kombe la ASFC dhidi ya Simba utakaofanyika Kigoma tatehe 25 mwezi huu
Lakini pia vijana walikutana na 'bosi' baada ya ushindi dhidi ya watani zao Simba wiki iliyopita








ADVERTISE HERE