GSM tayari wameshusha basi jipya kwa ajili ya klabu ya Yanga ambalo linatarajiwa kuanza kutumika kuanzia msimu ujao
Baada ya watani zao Simba kutambulisha basi jipya hivi karibuni, wengi walikuwa wakisubiri mtambo wa Wananchi
Basi hilo tayari limepokelewa bandarini na linatarajiwa kupelekwa katika moja ya gereji maarufu jijini Dar es salaam kwa ajili ya 'branding'
Ni mtambo kweli...! sio Tata

ADVERTISE HERE