Klabu ya Yanga imetuma salamu za pole kwa Polisi Tanzania kufuatia ajali ya gari ambayo timu hiyo ilipata mapema leo
Taarifa iliyotolewa na Yanga, imebainisha kuwa klabu imepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za ajali waliyoipata leo asubuhi.
ADVERTISE HERE