Rais wa Makampuni ya GSM Ghalib Said Mohammed ameipongeza Azam Media kwa kuweka udhamini haki za Maudhui katika klabu ya Yanga
Galib amesema anaamini kuwa Mkataba huo wa kihistoria unakwenda kuinua thamani ya klabu na kufungua milango ya uimara wa kifedha katika klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE