Leo kikosi cha Yanga kimejifua kwenye uwanja wa CCM Kirumba, uwanja utakaotumika kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mbao FC kesho Jumapili Disemba 31.
Yanga iliwasili jijini Mwanza ambapo jioni ilifanya mazoezi katika viwanja vya shule ya Alliance jijini humo.


Yanga iliwasili jijini Mwanza ambapo jioni ilifanya mazoezi katika viwanja vya shule ya Alliance jijini humo.


ADVERTISE HERE