Kamati ya Utendaji ya klabu ya Yanga, umemtangaza nyota wa zamani wa klabu hiyo, Mohammed Hussein 'Mmachinga' kuwa Kocha Mkuu wa timu ya Wanawake, Yanga Princess
Taarifa iliyotolewa na Yanga mapema leo, imebainisha kuwa Mmachinga anachukua nafasi ya Edna Lema aliyejiuzulu mwezi uliopita
Kabla ya uteuzi huo, Mmachinga alikuwa Kocha Msaidizi wa Yanga Princess
ADVERTISE HERE