Mambo muhimu katika Mkataba wa Yanga na Azam Media

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jul 2021
Mambo muhimu katika Mkataba wa Yanga na Azam Media

Ameandika Mkurugenzi wa Sheria na Wananchama klabu ya Yanga Wakili  Msomi Simon Patrick;

Mambo matano muhimu ya kuyajua kwenye Makubaliano wa Yanga na Azam

1. Thamani ya Makubaliano ni Bilioni 41 pamoja na VAT.

2. Makubaliano haya yameipa Azam haki zote (exclusive rights) za matukio ya Yanga, Wiki ya Mwananchi, Press za Yanga, Mkutano Mkuu, Timu za Wanawake/ Young Princess, Michezo ya kirafiki, Vipindi vya Yanga TV pamoja na michezo yote ya Kimataifa.

3. Makubaliano haya ni ya muda wa miaka 10, lakini baada ya miaka 5 kutakuwa na marejeo ya lazima (compulsory review).

4. Thamani ya Makubaliano haya itaongezeka kwa 10% kila mwaka (annual increment).

5. Makubaliano haya yanaifanya Yanga kuwa Mshirika wa Azam katika masuala mbali mbali ya habari (Media Partners) sio udhamini (sponsorship)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’