Baada ya mapumziko ya siku tatu, kikosi cha Yanga kimerejea kambini leo kuanza maandalizi ya mchezo wa ligi kuu unaofuata dhidi ya Ihefu Fc
Julai 14 Yanga itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Ihefu Fc katika mchezo ligi kuu, raundi ya 33
Ligi itafikia tamati Julai 18 kwa Yanga kuikabili Dodoma Jiji, mchezo ambao utapigwa mkoani Dodoma
Wananchi wanazihitaji alama zote sita zilizobaki ili kujihakikishia wanamaliza kwenye nafasi mbili za juu katika msimamo wa ligi
ADVERTISE HERE