Kigoma tunasoma arobaini yao - Mansour

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Jul 2021
Kigoma tunasoma arobaini yao - Mansour

Unamkumbuka Mwanariadha Mansour Hussein aliyekimbia kwa mguu kutoka Kigoma mpaka jijini Dar es salaam kushuhudia mchezo wa dabi uliopaswa kupigwa May 08?

Kwa hisani ya GSM, Mansour alirejea tena Dar na kuwa sehemu ya mashabiki walioshuhudia mchezo wa Julai 03 Yanga ikiichapa Simba bao 1-0

Mansour ameeleza furaha yake baada ya ushindi huo huku akiwahakikishia Wananchi kuwa mkoani Kigoma wanaenda kumaliza mchezo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’