Mimi ni mali yenu - Djuma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Jul 2021
Mimi ni mali yenu - Djuma

Aliyekuwa nahodha wa AS Vita Shaban Djuma, ametumia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii kuwahakikishia Wananchi sasa yeye ni mali yao

"Hatimaye presha imemalizika, Young Africans, mimi ni wenu," aliandika Djuma ambaye pia ni mchezaji wa kutegemewa timu ya Taifa ya DR Congo

Kauli hiyo inafuta rasmi tetesi zilizokuwa zikimuhusisha na RS Berkane ya Morroco

Baada ya Frolent Ibenge, aliyekuwa kocha wa AS Vita kujiunga na timu hiyo, ziliibuliwa tetesi kuwa Djuma alikuwa njiani kumfata

Hata hivyo hizo zilikuwa tetesi tu kwani Djuma alisajiliwa na Yanga mwezi uliopita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
32m ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
5h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
23h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’