Huyu ndiye mwamba aliyejenga 'fitness' Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jul 2021
Huyu ndiye mwamba aliyejenga 'fitness' Yanga

Miezi ya nyuma kulikuwa na malalamiko ya hapa na pale kutoka kwa mashabiki Yanga wakilalamika kuwa timu yao ina kawaida ya 'kukata moto' kwenye kipindi cha pili

Tatizo hilo lililonekana zaidi wakati mabingwa hao wa kihistoria wakinolewa na Cedric Kaze

Yanga ilikuwa inaupiga 'mwingi' kwenye kipindi cha kwanza lakini mashabiki wanalazimika kushika mioyo yao kwenye kipindi cha pili

Lakini kwa hakika kuna kazi imefanyika chini ya benchi la ufundi la kocha Nasreddine Nabi

Kocha wa viungo Jawab Sabri matunda ya kazi yake yameanza kuonekana

Katika mchezo dhidi ya Simba jana, Yanga ilicheza muda wote ikiwa na nguvu ileile

Kadiri Simba walivyoongeza presha kusaka bao la kusawazisha ndivyo wachezaji wa Yanga walivyojitoa

Hakukuwa na wakati ungeweza kusema wachezaji wamekata moto isipokuwa ni mbinu tu ya kocha Nabi ambaye aliwataka wachezaji wake waimarishe ulinzi kwenye kipindi cha pili huku wakishambulia kwa kushitukiza

Wasiofahamu Jawab ametua Yanga akitokea klabu ya Raja Casablanca ya Morocco

GSM walimleta huyu mwamba kwa kazi maalum ambayo matunda yake yameanza kuonekana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’