Nendeni mkawaonyeshe kazi - Niyonzima

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jul 2021
Nendeni mkawaonyeshe kazi - Niyonzima

Kiungo Haruna Niyonzima amewatakia kila la kheri wachezaji watakaopata nafasi kuiwakilisha Yanga kwenye mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa baadae leo

Niyonzima amesema ni heshima kubwa kwao kupata nafasi ya kuiwakilisha Yanga na hivyo wana jukumu la kuwaonyesha wapinzani wao vile mpira unachezwa

"Mmefanya kazi kubwa kupata nafasi ya kuaminiwa na kuwa sehemu ya timu leo. Nendeni mkawaonyesha vile mambo yanafanyika. Kila la kheri," aliandika Niyonzima kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Kikosi cha Yanga kiko tayari kwa mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa 11 jioni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
5h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’