Wamethibitisha muda wa mchezo ni huu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jul 2021
Wamethibitisha muda wa mchezo ni huu

May 08 itaendelea kubaki kwenye kumbukumbu kwa tukio la TFF kubadilisha muda wa mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Yanga kutoka saa 11 jioni kwenda saa moja usiku

Taarifa ilitolewa saa tatu kabla ya mchezo kupigwa, Wananchi wakaweka msimamo kwa kuingiza timu saa 11 jioni

TFF wamethibitisha kuwa leo mchezo utapigwa saa 11 jioni na hakutarajiwi kuwa na mabadiliko yoyote

Tukio la May 08 liliwasababishia mashabiki usumbufu na hasara kubwa

Bila shaka muda leo utazingatiwa kwani mabadiliko yoyote yatakayofanyika sasa yatakuwa nje ya muda wa kikanuni!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’