Ni mechi kubwa inayochezwa na wachezaji wakubwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jul 2021
Ni mechi kubwa inayochezwa na wachezaji wakubwa

Leo ni Julai 03, ifikapo saa 11 jioni Yanga itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuwakabili watani zao Simba katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Mchezo huu ulipaswa kupigwa May 08 lakini ikajitokeza sintofahamu, matarajio ya wengi ni kuwa leo utapigwa saa 11 kama ulivyopangwa

Pamoja na tambo na majigambo ya watani zao, huu ni mchezo ambao wachezaji wa Yanga wanapaswa kuthibitisha umahiri wao kwa kuzima tambo hizo

Wale wachezaji 18 watakaopewa nafasi ya kushiriki mchezo na kocha Nasreddine Nabi, wafahamu watabeba furaha ya Mamilioni ya mashabiki wa Yanga

Ulikuwa msimu ambao Wanayanga waliweka matumaini makubwa kwa timu yao, kukosa ubingwa wa VPL ni jambo linalowaumiza

Lakini kufungwa na Simba ni jambo litakalowaumiza zaidi. Hakika leo wachezaji wana jukumu la kuipigania nembo ya Yanga kwa gharama yoyote

Jana nahodha Msaidizi Abdallah Shaibu 'Ninja' aliwataka mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanjani kuwapa sapoti huku akitoa ahadi kuwa HAWAFUNGWI

Hii ni siku muhimu na kubwa sana kwao kwani kama watashinda majina yao yataandikwa na kubaki katika mioyo ya Wanayanga

Kila la kheri Wananchi..

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’