Kikosi cha Yanga kinaendelea kujifua Kigamboni kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Julai 03 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Wananchi wamepania kuwalaza na viatu mapemaa wale wanaodhani wanaweza kutwaa ubingwa mbele ya Yanga




ADVERTISE HERE