Usajili Yanga uko mikononi mwa watu makini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jun 2021
Usajili Yanga uko mikononi mwa watu makini

Pichani juu ni Wajumbe wa Kamati ya Mashindano pamoja na Kamati ya usajili walipokutana kwenye kikao cha kawaida katika kutekeleza majukumu yao

Hawa ndio wenye majukumu ya kusimamia michakato yote ya usajili msimu huu

Humo kumejaa watu wa mpira tupu, bila shaka usajili utakaofanyika hautakuwa na maswali mengi

Kwani hakuna mchezaji atakayesajiliwa kabla ya kamati hiyo kujiridhisha nae

Injinia Hersi Said sasa atakuwa na kazi rahisi, kumalizana na nyota wanaopendekezwa na Kamati tu

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
6h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’