Uongozi wa GSM umetangaza kuanza msako wa jezi feki kuanzia leo Juni 30 2021. Yeyote atakayekamatwa na jezi feki hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yake
Nunua jezi orijino kwenye maduka ya GSM Mall Pugu, GSM Mall Msasani, Max Aura Mall, Max/Splash Mlimani City na Salamender Tower, Posta

ADVERTISE HERE