Kikosi cha Yanga kiko jijini Mwanza tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mbao FC utakaopigwa keshokutwa, Disemba 31.

Yanga iliondoka leo asubuhi jijini Dar es salaam kwa usafiri wa ndege ya kukodi.

Kikosi cha Yanga kinaongozwa na benchi la ufundi lilolochini ya makocha wasaidizi Noel Mwandila na Shedrack Nsajigwa

ADVERTISE HERE