Mzee Mpili ayapokea Mabadiliko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Jun 2021
Mzee Mpili ayapokea Mabadiliko

Kwa sasa Yanga ni moja, kila Mwanachama na mashabiki wanasubiri kwa hamu mabadiliko ya muundo wa uendeshaji kuelekea kwenye uwekezaji

Mzee Mpili Mwanachama maarufu kutoka kule Ikwilili Rufiji nae ameungana na Wanayanga wenzake kupongeza uongozi wa Yanga na GSM kwa kufanikisha ndoto ya wengi ya kuleta Yanga ya kisasa

Mzee Mpili leo alipata nafasi ya kuonana na viongozi wa Yanga ikiwa ni pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano na Mkurugenzi wa uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said ambapo amewasihi Wanayanga kuendelea kuwa wamoja wakati wakielekea kwenye Mabadiliko

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’