Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia, amepita bila kupingwa kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi utakaofanyika August 07 mkoani Tanga
Karia alipita mchujo wa kwanza sambamba na wagombea wawili Evans Mgeusa na Hawa Mniga
Hawa na Mgeusi wameenguliwa kwenye usaili baada ya kukosa vigezo
Hii ni mara ya kwanza mgombea wa Urais TFF anapita bila kupingwa!
ADVERTISE HERE