Uongozi wa Yanga umewapongeza Wanachama wake waliohudhuria kwenye Mkutano Mkuu uliyofanyika jana kwenye ukumbi wa DYCCC, na kufanikisha kupitisha Mabadiliko ya Katiba
Mabadiliko hayo yatawezesha kufanya marekebisho ya mfumo wa uendeshaji wa klabu
Jumla ya wanachama waliohudhuria walikuwa 1750, na wote walipiga kura ya ndio kuunga mkono Mabadiliko ya Katiba
Hakika ilikuwa siku ya kihistoria ambayo itaipeleka Yanga katika awamu ya pili ya maisha yake




ADVERTISE HERE