Mwinyi akomaa aachwe ajiunge na AFC Leopards

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Dec 2017
Mwinyi akomaa aachwe ajiunge na AFC Leopards
Beki wa pembeni wa Yanga Haji Mwinyi amesisitiza azma yake ya kutimkia nchini Kenya kujiunga na AFC Leopards baada ya kukosa namba kwenye kikosi cha Yanga.

Mwinyi ambaye mkataba wake na Yanga unamalizika mwishoni mwa msimu tayari ameuandikia barua uongozi wa Yanga kutaka aachwe akatafute maisha pengine.

Mwinyi alin'gara akiwa na kikosi cha Zanzibar Heroes kwenye michuano ya Chalenji iliyomalizika hivi karibuni nchini Kenya.

Vilabu kadhaa nchini humo vilivutiwa nae lakini AFC Leopards imeonyesha nia ya kutaka kumsajili haraka iwezekanayvo.

Ligi kuu ya Kenya inaanza mwezi Februari, 2018.

Mmoja wa viongozi waandamizi wa Yanga amedokeza kuwa ni lazima timu inayomtaka Haji Mwinyi ifuate utaratibu kwa kuwa bado anamkataba na Yanga.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
10h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’