Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji amewasili ukumbi wa DYCC kwa ajili ya mkutano Mkuu wa mwaka unaoendelea Temeke jijini Dar es salaam
Baada ya Manji kuingia ukumbini, Wanachama walilipuka kwa shangwe wakimshangilia
Leo ni siku ya kihistoria, ule ubaridi aliokuwa akiusema Mzee Kikwete unazikwa leo...!

ADVERTISE HERE