Wananchi wanaandika historia leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jun 2021
Wananchi wanaandika historia leo

Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dk Mshindo Msolla amewaalika Wanachama kwenye Mkutano Mkuu unaofanyika hii leo ukumbi wa DYCC, uliopo Zimbabwe Road, Temeke Mkabala na Chuo cha Ualimu pamoja na Uwanja wa Benjamin Mkapa

Dk Msolla amesema leo ni siku muhimu kwa Wanachama wa Yanga kwani pamoja na ajenda nyingine, wanakwenda kufanya Mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu yao

Mkutano unatarajiwa kuanza saa nne asubuhi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
47m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’