Siku moja kuelekea Mkutano Mkuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jun 2021
Siku moja kuelekea Mkutano Mkuu

Kama wewe ni Mwanachama wa Yanga na unayo nafasi ya kushiriki Mkutano Mkuu, mpaka muda huu unapaswa kuwa umehakikisha una sifa ya kushiriki Mkutano huo

Kama hujakamilisha kulipia uanachama wako, kamilisha zoezi hilo leo, ili kuwa sehemu ya historia Jumapili

Baada ya miaka 86, siku ya kesho Jumapili, Juni 27 2021 Yanga inakwenda kufanya Mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji

Wanachama wa Yanga wanatarajiwa kufanya Mabadiliko ya Katiba ambayo yataruhusu mfumo mpya wa uendeshaji wa klabu hiyo

Rasmi uwekezaji unakwenda kuruhusiwa Yanga. Hili lina maana kuwa klabu sasa inakwenda kutumia mfumo ambao utaifanya ijitegemee

Kupitia kampuni itakayoundwa, Yanga itanufaika na biashara ya mpira itakayoendeshwa na wawekezaji wake watatu au wanne watakaonunua hisa asilimia 49%

Haya yote yatawezekana kama Wanachama wataridhia Mabadiliko yaliyopendekezwa na kamati ya Mabadiliko pamoja na maoni ya wadau

Hii ni siku muhimu kwa Mwanachama wa Yanga, hakikisha unashiriki ili uwe sehemu ya historia

 

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’