Mlinda lango wa Yanga Metacha Mnata, amekumbana na rungu la TFF baada ya kufungiwa michezo mitatu na kupigwa faini ya Tsh 500,000/-
Ni kutokana na kosa la kuonyesha ishara ya matusi kwa mashabiki baada ya mchezo dhidi ya Ruvu Shooting
Metacha sasa hatashiriki mchezo wowote kati ya mitatu iliyobaki kwa Yanga kumaliza msimu
Nyota huyo pia hatakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kitakachoikabili Simba Julai 03
Ni adhabu iliyotarajiwa...
ADVERTISE HERE