Mashabiki wa Yanga mkoani Tabora wameitendea haki timu yao tangu ilipotua mkoani humo juzi
Leo wamejitokeza kwa wingi uwanja wa Ali Hassan Mwinyi na kuhanikiza ipasavyo Yanga ikiondoka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Biashara United
Hata mchezo ulipomalizika, upendo wa Wananchi uliendelea kutamalaki wakiwasindikiza wachezaji wao kutoka uwanjani

Hii ndio timu pendwa hapa Tanzania, upendo wa Wananchi ni wa pekee
ADVERTISE HERE