Mashabiki mapema tu Ali Hassan Mwinyi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jun 2021
Mashabiki mapema tu Ali Hassan Mwinyi

Mashabiki wameanza kumiminika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mapema tu kuelekea mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam kati ya Yanga dhidi ya Biashara United

Mchezo utapigwa kuanzia saa tisa na nusu Alasiri lakini mashabiki wamewahi uwanjani, wakionekana kuwa na shauku ya kuushuhudia mtanange huo

Msululu wa mashabiki umeendelea kuwa mrefu nje ya dimba la Ali Hassan Mwinyi

Ni wazi uwanja utafurika mapema tu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’