Kikosi cha Yanga jioni ya leo kimefanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Biashara United
Yanga imejifua katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ambao utatumika siku ya kesho
Wananchi wako tayari kusaka nafasi ya kutinga fainali









ADVERTISE HERE