Viongozi, Benchi la Ufundi, Wachezaji na Makamu mwenyekiti wa kamati ya mashindano na Mjumbe wa Kamati ya Mabadiliko Eng. Hersi Said walitembelea kituo cha watoto yatima Mama Teresa Wa calcuta kilichopo Tabora Mjini
Ni utamaduni wa Yanga kurudisha kwa jamii na kuweza kufanya kilicho bora ili kuwapa furaha wale wenye uhitaji










ADVERTISE HERE